This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Firikia umeandika kitabu kikali halafu watu wanakisoma kimya kimya na hupati “reviews” zao. Aisee kiaina fulani itakupa wasiwasi hivi kwamba nilitoa kitabu boko nini. Enewei, hata mimi kama mwandishi huwa napenda nipate “reviews” za wasomaji wa vitabu vyangu.
Malizia kusoma
Umeandika kitabu, umetumia gharama kukiandaa na kukitoa halafu ili iweje? Si uuze uingize pesa siyo?. Bila kumung’unya maneno, kila mwandishi anataka auze nakala za kutosha aingize pesa. Lazima kitabu chako kikulipe au siyo?.
Malizia kusoma
Ukishafikia hatua ya kupata kava la kitabu, hapo unatakiwa ucheze kama pele ili upate kava bora na siyo bora kava. Nakwambia hivi kwa sababu kava la kitabu lina 90% kumfanya msomaji anunue ama asinunue kitabu chako.
Malizia kusoma
Watu wengi huniuliza, “Hivi Daudi, nikitaka kutoa kitabu changu naanzia wapi?” nami huwapa majibu mazuri sana ya kuwasaidia ambayo nataka kukuandikia hapa ili kukusaidia na wewe. Ni wakati sasa utimize ndoto yako ya kutoa kitabu chako na kifike mikononi mwa wasomaji. Sasa, fuata hatua hizi,
Malizia kusoma
Unataka kuandika kitabu lakini hujui pa kuanzia? Kuna mambo matano ambayo ukiyafanya lazima utaandika kitabu chako.
Hivi majuzi rafiki yangu Yehoshafati aliniuliza swali hili, “nianzie wapi ili niandike kitabu?” niliyoandika hapa ni majibu niliyomwandikia tulipochati katika mtandao wa WhatsApp. Haya ni mambo ya moja kwa moja ambayo ukiyafanyia kazi lazima uandike kitabu.
Malizia kusoma
Kila uandishi una mtindo wake, iwe kuandika riwaya, mashairi, pendekezo na n.k. Katika kozi hii utajifunza; mitindo minne ya uandishi na mambo ya kuzingatia unapoandika kuandika kitabu.
Malizia kusoma
Waandishi wanaofuata falsafa hii husema, huandika wanachosikia moyoni kuandika. Husikiliza mioyo yao. Ukitaka kutengeneza pesa kwenye uandishi, falsafa hii inaweza isikulipe sana, lakini over long term utatengeneza pesa.
Malizia kusomaUmefurahia kusoma MAFUNZO haya ya BURE? Usisahau kunipa mrejesho wako, nitafurahi sana.
Nimeandika vitabu 8 na ningependa uchague kimoja, nitakutumia kwenye baruapepe yako au kukutumia kwa njia ya basi hapo ulipo.
Bonyeza kitufe hapa chini