Jiunge unapotaka +

AUTHOR 1.0

TSH. 0.00

- Tunajifunza kwa siku 3 - 5

- Hakuna cheti

- Hakuna mazoezi

- Hakuna mtihani

- Unapata kipaumbele cha chini

- Hakuna u mentee

- Group la WhatsApp la Free DaudiPages

AUTHOR 2.0

TSH. 5000+

- Unasoma kwa siku 5 hadi 10

- Unapata cheti

- Kuna mazoezi

- Kuna mtihani

- Unapata kipaumbele cha juu

- Unakuwa Mentee wangu

- Group la WhatsApp la Paid DaudiPages

AUTHOR 3.0

TSH. 20000+

Unapata vyote vilivyo kwenye kozi plus vitu vifuatavyo

- Ushauri na usaidizi wa kipekee

- Appointment za kuonana


Shuhuda

Machapisho mpya

Soma vitabu hivi vitatu kama unataka kuwa mwandishi wa vitabu

2023/07/25

Nazungumza na mtu anayetaka kuwa mwandishi wa vitabu, kuna vitabu vitatu vya lazima kuvisoma ili upate maarifa ya kukusaidia unapoingia kwenye uandishi wa vitabu. Vitabu hivi vitakusaidia kupata maarifa muhimu kuanzia hatua ya kuandika, kuandaa, kupiga chapa na kuuza kiabu ulichoandika. Ni vitabu gani hivyo?

Soma zaidi →

Jinsi ya kuingia kwenye uandishi wa vitabu

2023/06/07

Kuingia kwenye uandishi wa vitabu sio kazi kubwa kama utaanzia kwenye kile unachokifanya. Ninaposema “kuingia kwenye uandishi wa vitabu” namaanisha uwe na kitabu chako ambacho mwandishi ni wewe!.

Soma zaidi →

Mwandishi wa vitabu Upendo atoboa siri muhimu ya kukusaidia

2023/02/15

Nimepata shinikizo kubwa moyoni, na nimeguswa sana. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitamshukuru Mungu kwa kunitukanisha na huyo mtu. Kama mimi nimeweza, amini na wewe unaweza.

Soma zaidi →
.