This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Hatua nne (4) katika uandishi wa vitabu [S01EP04_FINALE]
Unazifahamu hatua nne (4) katika uandishi wa vitabu?. Watu wengi hufikia hatua ya kwanza, wengine hatua ya pili na ya tatu, na wachache sana huifikia hatua ya nne.
Kuhusu hatua hizi nne (4), fahamu kwamba hatua zote nne zina uzito sawa, halafu zinategemeana, na zinaenda kwa mtiririko kwa kupandiana.
Mwandishi hawezi kwenda hatua ya pili, bila ya kupitia hatua ya kwanza. Je! Hatua hizo nne ni zipi? Karibu kusikiliza podkasti hii. Kwa maswali na maoni BOFYA HAPA