Kama una ndoto za kuwa mwandishi bora wa vitabu basi Daudi Lubeleje, ni chaguo sahihi.
Nakumbuka aliponitoa, niliona kama kipaji changu kinaweza kupotea. Nilitafuta sehemu za kujifunza hadi nilipompata. Amenifundisha mambo mengi
Huyu bwana anajua hadi basi, mbali na kujifunza namna ya kuandika vitabu, unaweza pia kujifunza kuhusu kufanya uzinduzi wa vitabu. Namna ya kuandika kitabu kinachouzika.
Utajifunza namna ya kuandaa bajeti za uandishi wa vitabu. Naamini Na wengine waliojifunza kutoka kwake, watakuwa wana ushuhuda kama huu. Kikubwa zaidi alinifunza namna ya kujenga mtandao wako kama mwandishi.
AD: Jiunge na watu 2500+ wanaopata machapisho yangu bure. Pia utafaidika na ofa za kozi za uandishi, ofa za vitabu, kozi za bure, ushauri wa bure na kujibu maswali yako yote utaniuliza kuhusu uandishi wa vitabu. Bofya hapa
Huwezi kujutia kujifunza kutoka kwake. Ni muda sasa amenisaidia,ikiwa utapata wasaa wa kusoma kazi zangu au vitabu vyangu, fahamu nyuma ya uhondo wa vitabu vyangu vingi kuna huyu mtu.
Nimepata shinikizo kubwa moyoni, na nimeguswa sana. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitamshukuru Mungu kwa kunitukanisha na huyo mtu.
Kama mimi nimeweza, amini na wewe unaweza.
Ni mimi Upendo Kitundu
#Daudi_Lubeleje #Upendo_kitundu #Africahistor #blogging.