This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Una swali la kuniuliza? Kuna msaada binafsi unahitaji? au unataka uwe mentee wangu?
Nimepata shinikizo kubwa moyoni, na nimeguswa sana. Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitamshukuru Mungu kwa kunitukanisha na huyo mtu. Kama mimi nimeweza, amini na wewe unaweza.
Soma zaidi →
Inatia moyo sana kuona idadi ya watu wanaotaka kuwa waandishi wa vitabu inaongezeka. Hii ni dalili nzuri sana kwa sababu inatoa picha ya mambo mawili; mosi, kuna mwamko wa watu kusoma vitabu, pili, watu wanataka kuacha alama ya mambo wanayofanya kwa vizazi vinavyofuata.
Soma zaidi →
Hivi majuzi nilihudhuria uzinduzi wa kitabu cha JENGA WASIFU WAKO kilichoandikwa na rafiki yangu Victor Lazaro (anayeonekana pichani). Uzinduzi huu ulifanyika pale New Safari Hoteli. Yako mengi nilijifunza na ninapenda kukushirikisha machache, kama mambo tisa (9) hivi.
Soma zaidi →
Kitabu chenye makosa kinamwondolea ladha nzuri na tamu msomaji. Kwa hiyo kukipitia na kukihariri kitabu chako ni jambo lisilokwepeka. Lakini, si waandishi wengi hufanya hivyo. Mara kitabu kinapoingia hatua ya sanifu ya kurasa ndiposa mwandishi anagundua kitabu kina makosa fulani fulani.
Soma zaidi →
Mwanzoni mwa mwaka huu nilikuwa naandika vi – tips vifupi fupi kwenye akaunti yangu ya mtandao wa Twitter @DaudiLubeleje (unaweza kunifollow kupitia handle yangu). Waandishi wengi wa vitabu walivutiwa na hizo tips na kutiwa nguvu zaidi, kama ujuavyo uandishi wa vitabu si kazi nyepesi.
Soma zaidi →
Nianze na swali kwako; Je! unataka kuwa mwandishi wa vitabu?. Yako mambo matatu ambayo ni muhimu kuwa nayo unapoanza safari ya uandishi wa vitabu. Nataka nikushirikishe hayo mambo matatu;
Soma zaidi →