This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Una swali la kuniuliza? Kuna msaada binafsi unahitaji? au unataka uwe mentee wangu?
Nakumbuka kitabu changu kwa kwanza kilipotoka, nilikuwa excited sana na sikuwa najua kuhusu mkakati wa kutangaza kitabu. Nilijua vitajiuza vyenyewe tu, na nikabaki na maombi ya kutegemea muujiza wa wasomaji kununua, lakini matokeo yalikuwa tofauti kabisa, niliuza nakala chache mno, nyingi nilibaki nazo.
Ipo changamoto kwa watu wengi kuogopa gharama za kutoa kitabu. Lakini yako mambo ya kufanya ili kupunguza gharama na kuifanya bajeti itoshe na hata chenji ibaki
Soma zaidi →
Nianze na swali kwako; Je! unataka kuwa mwandishi wa vitabu?. Yako mambo matatu ambayo ni muhimu kuwa nayo unapoanza safari ya uandishi wa vitabu. Nataka nikushirikishe hayo mambo matatu;
Soma zaidi →
Kuna aina mbili za waandishi. Unapoanza kuandika kitabu, jipambanue utakuwa mwandishi yupi yaani wa kundi gani au uwe katikati ya haya makundi/aina mbili
Soma zaidi →
<p>Ukiwa na bajeti utajua wazi kabisa hii hela inaenda kwenye usanifu wa kurasa au jalada au uhariri wa kitabu. Ukishajua hivyo, sasa utaweka vipaumbele nini kianze kwanza</p>
Soma zaidi →
Kuandika kitabu huchukuliwa kama ni jambo gumu sana ambalo ni watu wachache tu huweza kufanya. Lakini, kuna tabia ambazo ukiwa nazo kama unataka kuandika kitabu chako lazima utaweza kukamilisha kitabu chako.