Hizi ndizo sababu kitabu chako hakiuzi

Hizi ndizo sababu kitabu chako hakiuzi

07/27/2021

Umeandika kitabu, umetumia gharama kukiandaa na kukitoa halafu ili iweje? Si uuze uingize pesa siyo?. Bila kumung’unya maneno, kila mwandishi anataka auze nakala za kutosha aingize pesa. Lazima kitabu chako kikulipe au siyo?.

Soma zaidi →
Unajua kava la kitabu huzingatia kanuni 3? Soma hapa

Unajua kava la kitabu huzingatia kanuni 3? Soma hapa

07/14/2021

Ukishafikia hatua ya kupata kava la kitabu, hapo unatakiwa ucheze kama pele ili upate kava bora na siyo bora kava. Nakwambia hivi kwa sababu kava la kitabu lina 90% kumfanya msomaji anunue ama asinunue kitabu chako.

Soma zaidi →
KAMA UNATAKA KUTOA KITABU, FUATA HATUA HIZI [MWONGOZO MZIMA]

KAMA UNATAKA KUTOA KITABU, FUATA HATUA HIZI [MWONGOZO MZIMA]

05/03/2021

Watu wengi huniuliza, “Hivi Daudi, nikitaka kutoa kitabu changu naanzia wapi?” nami huwapa majibu mazuri sana ya kuwasaidia ambayo nataka kukuandikia hapa ili kukusaidia na wewe. Ni wakati sasa utimize ndoto yako ya kutoa kitabu chako na kifike mikononi mwa wasomaji. Sasa, fuata hatua hizi,

Soma zaidi →
UKIFANYA MAMBO HAYA MATANO LAZIMA UANDIKE KITABU CHAKO

UKIFANYA MAMBO HAYA MATANO LAZIMA UANDIKE KITABU CHAKO

05/03/2021

Unataka kuandika kitabu lakini hujui pa kuanzia? Kuna mambo matano ambayo ukiyafanya lazima utaandika kitabu chako.

Hivi majuzi rafiki yangu Yehoshafati aliniuliza swali hili, “nianzie wapi ili niandike kitabu?” niliyoandika hapa ni majibu niliyomwandikia tulipochati katika mtandao wa WhatsApp. Haya ni mambo ya moja kwa moja ambayo ukiyafanyia kazi lazima uandike kitabu.

Soma zaidi →
KOZI YA BURE KWA SIKU 4: FAHAMU MITINDO YA UANDISHI

KOZI YA BURE KWA SIKU 4: FAHAMU MITINDO YA UANDISHI

09/23/2021

Kila uandishi una mtindo wake, iwe kuandika riwaya, mashairi, pendekezo na n.k. Katika kozi hii utajifunza; mitindo minne ya uandishi na mambo ya kuzingatia unapoandika kuandika kitabu.

Soma zaidi →
FALSAFA 2 ZA UANDISHI WA VITABU

FALSAFA 2 ZA UANDISHI WA VITABU

05/03/2021

Waandishi wanaofuata falsafa hii husema, huandika wanachosikia moyoni kuandika. Husikiliza mioyo yao. Ukitaka kutengeneza pesa kwenye uandishi, falsafa hii inaweza isikulipe sana, lakini over long term utatengeneza pesa.

Soma zaidi →
.