This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Una swali la kuniuliza? Kuna msaada binafsi unahitaji? au unataka uwe mentee wangu?
Kuna utafiti nilishiriki hivi majuzi wa Belinda K Griffin kutoka SmartAuthorsLab.com ambao ulitaka kujua, wewe kama mwandishi unataka kufanikiwa kwenye nini? Ulikuwa ni kuchagua moja kati ya majibu haya;
Soma zaidi →
Huwa inaonekana kama kuandika kitabu inataka ufanye mambo mengi sana ambayo, kwa wanaoingia kwenye uandishi kwa mara ya kwanza, huonekana yanachanganya mno. Habari mbaya ni kuwa, wengine hukata tamaa wanapoona mchakato kuwa mgumu, lakini leo nataka kuamsha ndoyo yako ya kuandika kitabu inayotaka kufa.
Nikwambie tu kwamba kuandika kitabu inataka ufanye jambo moja tu, nalo ni hili, fikiria kuandika kitabu kama mchakato unaohusisha mambo matatu, mambo hayo ni yapi?
Soma zaidi →
Nimekuja kugundua baadaye kwamba baadhi ya waandishi wanaochipukia na hata waandishi wakongwe, kuna baadhi ya mambo ya msingi hasa kwenye kupata makava ya vitabu vyao wanakuwa hawajui au hawakujiandaa vema hivyo kupelekea kupata makava kwa kuchelewa na wakati mwingine kwa sababu ya muda mfinyu kupata makava ambayo hayakuwa yamekamilika vile wanataka.
Soma zaidi →
Huwa nasikia watu wengi tu wakilalamika, sina muda wa kusoma vitabu, nikisoma kitabu simalizi, sina tu mzuka wa kusoma, And the list goes on.
But, ukianza na kujiuliza unasoma kitabu ili iweje utaanza kusoma kitabu ukiwa na sababu, ile why yako itaondoa hayo mambo nimeyataja hapo juu
Soma zaidi →
Niliweka hapa, kwenye blogi, chapisho jipya siku chache zilizopita kuhusu njia 4 za kupata “reviews” za wasomaji wa kitabu chako na nika share link yake kwenye makundi sogozi kadhaa ya WhatsApp. Kuna mdau mmoja aliposoma hilo chapisho alinifuata inbox na kuniuliza hili swali;
Soma zaidi →
Firikia umeandika kitabu kikali halafu watu wanakisoma kimya kimya na hupati “reviews” zao. Aisee kiaina fulani itakupa wasiwasi hivi kwamba nilitoa kitabu boko nini. Enewei, hata mimi kama mwandishi huwa napenda nipate “reviews” za wasomaji wa vitabu vyangu.
Soma zaidi →