This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Una swali la kuniuliza? Kuna msaada binafsi unahitaji? au unataka uwe mentee wangu?
Zikiwa zimesalia siku chache mno – Siku 5 tu, kozi itaanza tarehe 30.07.2022 – kozi ya Siri 30 Za Kuwa Mwandishi Bora Wa Vitabu kuanza, nimeona nigusie jambo hili; Unaisomaje kozi hii?. Nifanya hivi nikitambua kuwa kuna watu wengi, ikiwemo wewe,
Soma zaidi →
Baada ya kusoma kozi hii, utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;
Kitabu chenye makosa kinamwondolea ladha nzuri na tamu msomaji. Kwa hiyo kukipitia na kukihariri kitabu chako ni jambo lisilokwepeka. Lakini, si waandishi wengi hufanya hivyo. Mara kitabu kinapoingia hatua ya sanifu ya kurasa ndiposa mwandishi anagundua kitabu kina makosa fulani fulani.
Soma zaidi →
Mwenye ndoto ya kuandika na kutoa kitabu ni wewe si mtu mwingine, mwenye ndoto ya kuuza nakala nyingi ni wewe na si mtu mwingine, na mwenye ndoto ya kuwa mwandishi aliyefanikiwa ni wewe na si mtu mwingine. Kwenye hatua yoyote uliyoko sasa; iwe kuandika, kutoa ama kuuza kitabu chako, kitabu hiki kitakuwa msaada kwako.
Soma zaidi →
Kuna utafiti nilishiriki hivi majuzi wa Belinda K Griffin kutoka SmartAuthorsLab.com ambao ulitaka kujua, wewe kama mwandishi unataka kufanikiwa kwenye nini? Ulikuwa ni kuchagua moja kati ya majibu haya;
Soma zaidi →
Firikia umeandika kitabu kikali halafu watu wanakisoma kimya kimya na hupati “reviews” zao. Aisee kiaina fulani itakupa wasiwasi hivi kwamba nilitoa kitabu boko nini. Enewei, hata mimi kama mwandishi huwa napenda nipate “reviews” za wasomaji wa vitabu vyangu.
Soma zaidi →