This website use cookies to ensure you get the best experience on our website
Una swali la kuniuliza? Kuna msaada binafsi unahitaji? au unataka uwe mentee wangu?
Nazungumza na mtu anayetaka kuwa mwandishi wa vitabu, kuna vitabu vitatu vya lazima kuvisoma ili upate maarifa ya kukusaidia unapoingia kwenye uandishi wa vitabu. Vitabu hivi vitakusaidia kupata maarifa muhimu kuanzia hatua ya kuandika, kuandaa, kupiga chapa na kuuza kiabu ulichoandika. Ni vitabu gani hivyo?
Soma zaidi →
Kuingia kwenye uandishi wa vitabu sio kazi kubwa kama utaanzia kwenye kile unachokifanya. Ninaposema “kuingia kwenye uandishi wa vitabu” namaanisha uwe na kitabu chako ambacho mwandishi ni wewe!.
Soma zaidi →
Unazifahamu hatua nne (4) katika uandishi wa vitabu?. Watu wengi hufikia hatua ya kwanza, wengine hatua ya pili na ya tatu, na wachache sana huifikia hatua ya nne. Kuhusu hatua hizi nne (4), fahamu kwamba
Soma zaidi →
Naandikaje kitabu? Ni swali ambalo nimejibu katika kurasa zinazofuata. Mimi naamini, kuandika kitabu ni ujuzi ambao kila mtu anawez kujifunza
Soma zaidi →
Zikiwa zimesalia siku chache mno – Siku 5 tu, kozi itaanza tarehe 30.07.2022 – kozi ya Siri 30 Za Kuwa Mwandishi Bora Wa Vitabu kuanza, nimeona nigusie jambo hili; Unaisomaje kozi hii?. Nifanya hivi nikitambua kuwa kuna watu wengi, ikiwemo wewe,
Soma zaidi →
Baada ya kusoma kozi hii, utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;